">Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa sikuKula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingiTibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na menginePunguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidiBalansi usito wakoUsivute sigaraPunguza au acha kunywa pombePunguza mawazoKula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikaliLala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzaziKunywa maji ya kutosha
No comments:
Post a Comment