Chanzo cha tatizo la nguvu za kiume
Tatizo la nguvu za
kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo
huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana
ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini
kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;
1. Kuwa na halemu
(Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
2. Kuvuta sigala na
unywaji wa pombe
3. Uzito kupita kiasi
na unene uliozidi
4. Ulaji holela wa
vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
5. Kisukari
6. Kuwa na mawazo na
wasiwasi
7. Matumizi ya madawa
mbalimbali
8. Umri hasa wazee
9. Utumiaji wa
vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
10. Kuwa na tatizo la
kibofu
11. Tabia za kujichua
kwa mda mrefu
12. Kutopata usingizi
kamili
13. Matumizi makubwa ya
dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo,
kisukari, B.P, na magonjwa mengine
No comments:
Post a Comment