PICHA ni dimba la klabu ya KMC (Kinondoni Municipal C)
PICHA ni dimba la klabu ya KMC (Kinondoni Municipal C)
Hii klabu ni Mali ya Serikali hata Pesa wanazotumia Kmc ni Pesa za Serika
li ambazo zinatokana na Kodi za Wananchi
li ambazo zinatokana na Kodi za Wananchi
Mnaosema Simba Sc au Yanga ni Aibu kubwa kushindwa kujenga viwanja vyao mkoa sawa lakini msisahau kua KMC hawana kombe lolote na hawana Mashabiki wengi kama Simba na Yanga
Kujenga Uwanja sio simple Simple bila Serikali kuingiria kati Uwanja wa Azam Fc Chamaz Complex mpaka hivi Sasa umwshagharimu BILION 34 .
Hizo Pesa anatoa boss na mmiliki wa Azam Simba na Yanga hawana hizo Pesa na sio rahisi kuzipata maisha ni magumu hata tunavyoshabikia Simba na Yanga ni Ile kwamba hatuna kitu Cha maana Cha kushabikia kimsingi hizi timu sio za mpira ni timu za siasa .
Klabu Iko Dar Es Salaam wewe UPO Kigoma au Ruvuma Au Mwanza inakuhusu vipi Ulaya Kila mtu anashabikia klabu ya Mji wake.
Kiufupi Tunaishi maisha ambayo hatujui kwanini tunayaishi hata utoaji Jezi wa Simba na Yanga haueleweki ndiyo maana wanatoa Jezi za Ligi baadae wanatoa Jezi za kimataifa mara Jezi za mapinduzi kwahiyo unaweza kujikuta una mijezi kibao alafu haina maana ndiyo maana watu wanapenda kununua Jezi za Mamelodi Sundown's au Al Ahly au za mbele maana Manchester United wakitoa Jezi ya msimu hiyo Jezi itatumika Mashindano yote Sasa hivi vilabu vya Kariakoo vimewarenga malimbukeni sana watu wenye akili zao hauwezi kupishana nao na makadi ya YANGA au Simba Kwa sababu hakuna watakapokusaidia .
Na ukipishana na Mwananchi amevaa Jezi ya Simba au Yanga anaonekana kama rimbukeni wa maisha lakini ukipishana na mtu kavaa hata Uzi wa Wolves anaonekana anajua mpira .
Tushabikie tu lakini timu ya mpira Tanzania ni Moja Kila siku nawaambia ni Azam Fc Hawa wengine ni Yale Yale 



No comments:
Post a Comment