Kocha wa Kagera Sugar Yanga ni timu bora.
"Yanga ni timu bora. Nawapongeza wachezaji wangu kwa kuweza kucheza na Yanga na
kuwazuia" “Sisi (Kagera sugar) Kufungwa magoli mbili pekee na Yanga ni kama
tumewin, sisi tumejikaza kidogo, kuna wale Wanaocheza za CAF walifungwa goli
tano.”
©️ Paul Nkata Kocha wa Kagera Sugar.
No comments:
Post a Comment