Kinda na kiungo mshambuliaji wa Simba Joshua Mutale amepona na kuanza mazoezi
rasmi ya timu baada ya kuwa nje ya uwanja akiuguza majeraha kwa masiku kadhaa!
Kukosekana kwa kinda huyo hatari kulifanya mwalimu amtumie Kibu Denis, Edwin
Balua ama Saleh Karabaka kwenye upande wa wingi!
Matarajio yenu!?
No comments:
Post a Comment