EXCLUSIVE Klabu ya KRC Genk haijalidhishwa na kiwango cha Winga Elie Mpanzu (22) katika majaribio aliyofanya kwa muda wa wiki mbili na nusu na hatasajiliwa Mpaka sasa Elie Mpanzu ni Mchezaji huru ( Free agent ) na hana ofa yoyote mezani kwake Winga Elie Mpanzu hana mpango wa kurudi katika klabu ya AS Vita Club kuelekea msimu mpya.
No comments:
Post a Comment